Migogoro ya ardhi katika Jiji la Dar es Salaam imeendelea kuwa sugu, hali inayosababisha wananchi wengi kuingia katika ...
JUMLA ya vitabu vya Amali 18,354 vimesambazwa katika shule zote za serikali na binafsi zinazofundisha mkondo wa Amali nchini ambako kwa kidato cha kwanza vimetolewa 15,780 na kidato cha pili ni 2,574.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, Februari 12, 2026 alifanya mazungumzo na Waziri ...
Manispaa ya Temeke imezindua mpango wa maendeleo wa miaka 10 unaolenga kuijenga upya na kupata ardhi kwa ajili ya kuibadili ...
Waandishi wa habari wametakiwa kuhakikisha wanaandika habari zenye ushahidi na ushawishi wa kisera, ili zilete manufaa kwa jamii hasa wakati wa mabadiliko ya tabianchi. Hayo yamesemwa na Kiongozi wa k ...
Wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi wamewaomba Maafisa Maendeleo ya Jamii kuwasaidia kuboresha taarifa zao wakati wa uombaji wa mikopo hiyo ili waweze kuipata kwa ...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, Februari 13, 2026 amekagua na kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha MVA 60 Mkatata mkoa ...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Stephen Nindi ametangaza mkakati wake wa kuboresha mandhari ya mkoa huo kwa kujenga majengo ya kisasa pembezoni mwa barabara. Nindi ameyasema hayo wakati wa hafla ya k ...
Wataalamu wa afya, viongozi wa serikali na wadau wa maendeleo wameeleza umuhimu wa kuendeleza uwekezaji katika utafiti wa afya, wakisema mchango wa Taasisi ya Ifakara ya Utafiti wa Afya (IHI) umechang ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results